Romans 15:12

12 aTena Isaya anasema,

“Shina la Yese litachipuka,
yeye atakayeinuka ili kutawala juu ya mataifa.
Watu wa Mataifa watamtumaini.”
Copyright information for SwhNEN